Spiro ina spirulina ambao:
-inaongeza na kuimarisha kinga ya mwili
-inasaidia kuondoa asidi iliyopo tumboni
-inapunguza ueneaji wa vimelea vya ugonjwa wa kansa.
-mchele uliookwa (rice bran).
-huu una fibres ( kamba kamba ) zinazosaidia kwa kiasi kikubwa katika kuufanya mwili uweze kunyonya virutubisho vyote muhimu katika chakula ndani ya utumbo.
faida za mchele uliookwa.
-inasaidia sana kutoa ute laini unaolainisha kuta za tumbo kusiwe na msuguano sana na chakula unachokula.
-inasaidia katika ufyonzwaji wa wa virutubisho katika mwili kwa kutengeneza mazingira mazuri kwa ajili ya kazi hiyo.
-inasaidia mtu aweze kupata choo.
-shayiri (aina ya ngano).
-hii inasaidia katika uondoaji wa lehemu mbaya (bad cholesterol).