ZUIA VIMBE ZA KIZAZI
1. *Fields of green* Ni aina tofauti tofauti ya mboga mboga za majani ambazo zinasaidia kubalance kiwango cha sukari na kusaidia pia kwa wale wenye kutokupata choo kwa urahisi kipindi cha uja uzito au wakati wa kawaida 2. *Arctic sea* Ni mchanganyiko wa mafuta ya *samaki* na mafuta ya *mzaituni*(olive oil) Husaidia sana katika ukuaji wa ubongo wa mtoto mdogo akiwa tumboni mwa mama, kupunguza mafuta mabaya (cholestoral), nzuri kwa macho na ngozi pia. 3. *Absorbent C* Hii ni vitamin C ambayo inasaidia katika kulisha ngozi ya mama na ya mtoto. Ni vitamu. 4. *Forever B12+* Hii bidhaaa ni mchanganyiko wa vitamin B12 na Folic acid ambazo ni nzuri katika kuongeza damu na kusupport formation ya mifupa ya mtoto. 5. *Calcium* Ni muhimu sana katika kuzalisha calcium ambayo mama inabidi aipeleke kwa mtoto wake akiwa tumboni Bidhaa zote hizi zinatumika na kufika siku 30 na nyingine zaidi Kumbuka hizi si dawa ni virutubisho