Vitamin C (Ascorbic Acid), Multivitamin Complex, Multimineral Complex
Active Ingredients
Powder
Formulation
All
Gender
All
Age Group
Vanilla
Flavor
All Natural
Features
Before Workout
When to Take
Pouch
Package
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Ultra lite vanilla ni lishe ya protini iliyo na mlo kamili, ni protini kutoka kwenye mimea tofauti na protini tulizozizoea kutoka kwenye nyama, sifa yake kubwa ni ina kiwango kidogo sana cha calories hivyo inamanufaa mengi sana mwilini huku haikufanyi uongezeke uzito ,ni nzuri sana kutumia kama unafanya diet na ni bora sana kwakuwa inamlo kamili yaani ina virutubisho vyote mwili wako hunitaji, ni tamu sana na unachanganya kwenye maji, juice, au hata smoothies za matunda , karibu sana