Propolis
hili ni zao la nyuki ambapo limekuwa na faidia kubwa kiafya.
sifa kuu ni strong antibiotics
katika utamaduni wa wa misri ( egypt) kulikuwa na utaratibu wa kutunza miili hisiharibike, miili ya wafalme
( dawa nzuri kwa wagonjwa wa saratani).
faida zake:
kuimarisha kinga kwa magonjwa ya autoimmune ( kinga ya mwili ndio askari wa mwili).
inazuia maambukizi ya bacteria . mara kumi ( x 10). kuliko antibiotics za kawaida.
inazuia maambukizi na kutibu maambuki ya viruses.
inazuia na kutibu fangasi.
inazuia mivimbe na kutibu vidonda pamoja na saratani.
inatibu magonjwa ya zinaa vizuri sana ( genital herpes, genital warts).
inatibu mafua na vidonda vya koo.
inasaidia matatizo ya kutoshika ujauzi kwa mwanamke pamoja na chango ( endometriosis).
wasilina nasi kwa namba:
#propolis067XXXXXXX