TAMBUA MADHARA YATOKANAYO NA UZITO KUPITILIZA : #Hisababisha matatizo ya figo. #Uwepo wa michirizi sehemu za mwili. #Kupunguza hamu ya tendo la ndoa kwa kiwango kikubwa. #kuharibu mfumo mzima wa upumuaji. #kuharibu inni #Kupelekea uwezekano wa kupata kisukari, tatizo la pressure na kwenye guat #Hupelekea changamoto kwenye mfumo mzima wa moyo. #Hupelekea changamoto kwenye mfumo wa ubongo. #Kupunguza kasi ya kuishi kwa kiasi kikubwa. #Huleta Shida kwenye mfumo mzima wa mmeng'enyo wa chakula. Ili kuondokana na adha zote tajwa hapo juu ya kuepuka gharama za matibabu kutokana na adha hizo za maradhi nyemelezi yatokanayo na uzito kupitiliza kukupata ni vyema ukachukua Hatua sasa hivi ya kuanza program ya mazoezi pamoja na virutubisho lishe kwa ajili ya kupunguza kilo pamoja na kufanya cleansing ya mwili mzima ndani ya siku 9. Andika neno UZITO kwenda What's App + Tukuhudumie haraka ndg.