Habari, je unajua umuhimu wa detox ndani ya mwili wako. miili yetu inaongiwa na sumu nyingi sana mwilini, tunatumia vinywaji vyenye kemikali sana, tunavuta hewa chafu mda wote, sasa ni namna gani tunaweza tukailinda miili yetu dhidi ya hizo sumu tunazotumia, athari kuu ni kukosa choo, kupata usumbufu wa ngozi, saratani ya utumbo na koo, uzito mkubwa kwa sababu ya taka mwili n.k sasa tukisafisha miili yetu kwa kuondoa sumu mwilini na kuboresha mmeng'enyo wa chakula ,safisha utumbo wako, na pia uongeze kinga ya mwili, boresha ngozi yako na pia upate kinga bora, imetengenezwa na ini la ndani la Aloe vera kuifanya iwe na nguvu sana ya kuongeza vitamin C kwny ngozi na kufanya ngozi yako pia iwe na unyevu wa kutosha, ni detox nzr mno ya kuondoa sumu mwilini na kusafisha taka mwili, inatumika na watu wanaohitaji kupunguza uzito au wanaotaka kuanza lishe na mazoezi pia, tafadhali wasiliana nasi hapa kupata ujuzi zaidi.