ALOE VERA JEL NI MUHIMU KWA >Kuondoa gesi tumboni hivyo kukukinga usipate vidonda vya tumbo >Kunyonya nutrient vzr mwilini >Inaongeza kinga ya mwili, ina VITAMIN C kwa wingi >Inakupa nguvu usichoke choke ovyo >Inapunguza acidity mwilini >Inatunza ngozi yako isichoke na isizeeke mapema >Itakusaidia kupata Choo kizuri ambacho akina harufu kali