Magnesium Glycenate sasa inapatikana...
faida za magnesium glycenate ni
★ Kuimarisha afya ya mfumo wa neva: Magnesium Glycinate husaidia kudumisha afya ya mfumo wa neva na kusaidia katika utaratibu wa kuondoa msongo wa mawazo.
★ Kusaidia afya ya moyo: Magnesium Glycinate inasaidia kudumisha afya ya moyo kwa kusawazisha viwango vya shinikizo la damu na kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo.
★ Kusaidia afya ya mifupa: Magnesium Glycinate husaidia kudumisha afya ya mifupa kwa kusaidia kufyonza Calcium na kuwezesha ujenzi wa mifupa yenye nguvu.
★ Kusaidia digestion: Magnesium Glycinate inaweza kusaidia kuboresha afya ya mfumo wa utumbo kwa kusaidia mmeng'enyo wa chakula na kupunguza matatizo ya tumbo kama vile kuvimbiwa.
★ Kupunguza maumivu ya misuli: ina inasaidia kuboresha misuli, inaweza kupunguza maumivu na kukazika kwa misuli