Argi+ imetengenezwa na matunda mengi sana na wingi wa cran berries ikiwa na wingi wa L-arginine ambayo huzalisha compound muhimu sana mwilini mwako iitwayo nitric oxide kwa ajili ya kuboresha mfumo wa mzunguko wa damu, tunafahamu kutokana na lishe za sasa mifumo ya damu imekuwa ikiathiriwa n matatizo mengi ikiwemo mafuta kuziba mushipa, shinikizo la juu la damu, stroke na pia sehemu zingine za mwili kutofikiwa na damu y kutosha ikiwemo sehemu za uzazi, argi+ ina l-arginine na amino acids muhimu kwa ajili ya kuboresha misuli iliyolegea na pia kufanya damu izunguke kwa usahihi wake, n suluhisho la shinikizo la juu la damu kwa ajili ya kupunguza kasi kwa kuondoa cholesterol kwenye mishipa, mengi ya haya karibu tutakuelekezs