Forever kids imetengenezwa na matunda ya dhabibu na aina nyingine za mboga mboga kama brocolli, spinach ,carrots na zingine nyingi. Ina vitamins zote pamoja na madini na phytonutrients
Vitamin c hufanya kinga iwe imara huku vitamin D3 ikiboresha ukuaji na maendeleo ya mtoto, madini ya chuma na vitamin B12 husaidia afya ya utambuzi au ukuaji wa akili, uchangamfu, maamuzi, ujuaji n.k
Forever kids ina ladha ya dhabibu tamu hivyo hutatumia nguvu kuwafanya watoto wale bali watakuwa wanaiomba wenyewe kutumia kama umesahau kwa sababu ni tamu.
Ukiwa na forever kids ni muda wako kama mama kupumzika mana una hakika watoto wanapata virutubisho vyote miili yao inahitaji.
Ni tamu kumumunya kama pipi na kutafuna pia ni tamu hivyo ni rahisi kwa mtumiaji yoyote yule.
WASILIANA NASI KWA NUMBER074XXXXXXX