Joint support & Bone health
Hizi ni supplement kwa ajili ya watu wenye matatizo ya maumivu kwenye joint za miguu,mikono pamoja na kiuno
Zipo na ingredient zifuatazo
Kuna glucosamine sulfate potassium,baswella extract,baswellic acid,chondraitin sulfate,tumeric extract and so on
Zinasaidia
Kuondoa maumivu kwenye joint
Kufanya joint ziwe flexible
kufanya mifuba iwe na nguvu
Matumizi yake
Unatakiwa kutumia supplement mbili kwa siku
Call/whatsapp:/
Location:sinza kumekucha near fine travellers hotel