Imarisha mifumo muhimu ya mwili wako kwa Forever Arctic SeaTM, kirutubisho cha kiwango cha juu kinachochanganya mafuta ya asili ya samaki na ngisi (Omega-3) pamoja na mafuta safi ya mzeituni/olive oil (Omega-9). Kirutubisho hiki kimetengenezwa kwa uwiano kamili wa DHA na EPA ili kukusaidia kulinda afya ya moyo, mishipa ya damu, na kuupa ubongo wako nguvu ya kufanya kazi vizuri.