FAB ni muhimu sana kwenye mazingira tynayoishi kwakuwa, tunachoka, tunafanya kazi, tunakereka, tunamove, hivyo hasira na head ache inakuwa ni part ya siku yako, hivyo ndipo utakapoona umuhimu wa kuwa na kinywaji kitakacho kupoza na hasira ,head ache na uchovu na kisha unaeza ukaona siku yako imeanza upya