inaboresha afya ya mmeng’enyo wa chakula
Husaidia kusawazisha bakteria wazuri tumboni (gut flora).
inapunguza matatizo ya tumbo
Husaidia kwa gesi, kujaa tumbo, kuharisha, kufunga choo (constipation) na IBS.
inaimarisha kinga ya mwili
Asilimia kubwa ya kinga ya mwili hutoka tumboni; probiotic huisaidia kufanya kazi vizuri.
inasaidia baada ya kutumia antibiotics
Hurejesha bakteria wazuri waliouawa na antibiotics.
inaboresha ufyonzwaji wa virutubisho
Mwili hunyonya vizuri vitamini na madini kutoka kwenye chakula.
inasaidia metabolism ya mafuta na sukari
Ina mchango katika kudhibiti uzito na afya ya sukari mwilini.
inaboresha Afya ya ngozi
Inaweza kusaidia kupunguza chunusi, eczema, na mzio unaohusiana na matatizo ya tumbo.
inaboresha Afya ya uke (kwa wanawake)
Husaidia kuzuia maambukizi ya mara kwa mara (yeast infection,U.T.I