C9 program inakupa lishe sahihi kwa ajili ya wewe kuweza kupungua uzito, inasupplements ndani yake zenye uwezo wa kucontrol diet yako na pia zinazuia mwili kutengeneza mafuta kutoka kwenye vyakula vya wanga na sukari, mbadala wake huyeyusha mafuta ya ziada yaliyohifadhiwa mwilini mwako bila matumizi hususan tumboni, mikononi, mapajani n.k
program hii hutumika kwa siku tisa ukifwatiza na mazoezi tutakayokuongoza nayo pamoja na vyakula vya kutumia. huweza kupunguza uzito kwanzia kilo 6 mpaka kilo 9 ndani ya siku tisa.