Probiotic tablets
inasaidia mfumo wa mmeng’enyo wa chakula na afya ya tumbo kiujumla
inaboresha kinga za mwili
inaondoa shida ya kujaa gesi tumboni
inasaidia kuondoa shida ya constipation (kukosa choo)
inasaidia kuondoa shida ya acid tumboni
Jinsi ya kutumia
vidonge 2 kwa siku mara moja baada ya kula