Clean 9 ni package ambayo inasaidia katika kupunguza uzito,nyama zembe,kitambi ndani ya siku 9 tuu. sababu kitu ni; kuondoa sumu mwilini,taka mwili, na kusafisha mwili. package hii ina products 5 ndani yake ambazo ni; aloe vera gel;inaondoa sumu mwilini, forever lite ultra;ina protein,inasaidia ujiskie umeshiba,inakupa virutubisho vya kutosha vinavyohitajika mwilini. forever fiber;pia ina kifanya ujihisi umeshiba mda mrefu. forever therm;inazalisha joto ,inakupa nguvu na stamina. forever garcinia;inasaidia kupunguza /kuyeyusha/kuchoma mafuta mabaya katika mwili wako. mawasiliano zaidiCall karibuni sana