Ina ladha nzuri,kalori chache na kinywaji lishe cha kunywa kiurahisi,chenye vitamini kamili,protini,na kutolewa kwa nishati ya amino asidi ambayo ni mbadala wa chakula chako ili kukusaidia kupunguza uzito kwa usalama,kwa haraka na kwa ufanisi na kukukinga na njaa kali.
faida za mrt
1. kupunguza mafuta mwilini
2. kila pakiti ina mlo mbadala wa kalori 76tuu
3., inasafisha ini na figo, ni nzuri kwa wenye kisukari
4. ina kiwango kikubwa cha protin, vitamin na madini
5. inatunza kiwango cha nguvu mwilini wakati unapunguza uzito
6.ina kukinga kupata saratani ya aina yeyote
7.inasaidia mwili kufyonza virutubisho,ni nzuri kwa tatizo la figo
8.ina viwango vya juu vya protini,vitamini na madini
9.inawafaa pia kwa wenye tatizo la kisukari
10.ina choma na kuvunjavunja mafuta yasiyohitajika mwilini kila pakiti ni mlo kamili wenye karoli 76