Bio calcium liquid
Hizi ni supplement za calcium zilizotengenezwa katika mfumo wa softgel ili iwe rahisi kunywa na kufyonzwa haraka mwilini
Watu wanaoweza kutumia;
Watoto wanaokua
Wajawazito na wanaonyonyesha
Wazee
Watu wenye upungufu wa calcium
Faida za Bio calcium liquid ni;
Kuimarisha mifupa na meno
Kusaidia ukuaji wa watoto
Kuzuia mifupa kuwa dhaifu au kuvunjika kwa urahisi
Kusaidia misuli kufanya kazi vizuri
Kuimarisha mfumo wa neva pamoja na mapigo ya moyo
Kupunguza hatari ya upungufu wa calcium mwilini
Kopo mona lina supplement 100
Matumizi yake
Asubuhi supplement 2 Jioni supplement 2