Vitamin C (Ascorbic Acid), Multivitamin Complex, Antioxidant, L-Arginine
Active Ingredients
Powder
Formulation
Male
Gender
Adult
Age Group
Berry
Flavor
All Natural
Features
Before Workout
When to Take
Stick
Package
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Argi+ imetengenezwa kwa mchanfanyiko wa matunda ya dhabibu na berries, ikiwa na kiwango kikubwa sana cha l-arginine, hii ni amino acids ambayo inapoingia mwilini mwako huzalisha compound inaitwa nitric oxide yenye sufa nyingi sana kwa afya ya uzazi na mzunguko wa damu kwa ujumla, hii compund itakusaidia kutanua mishipa ili kuruhusu damu ipite vizuri kwa walioathirika na punyeto au uzito mkubwa, lakini pia inafanya misuli iwe imara kwa muunganiko wake na vitamin D iliyopo kwa wingi sana kwenye hii bidhaa hivyo ni nzuri kwa watu wazima ambao pia umri umeenda hivyo misuli inalegea lakini pia kwa wanaume wenyw tatizo la ulegelege kwenye uume, itakusaidia pia usuchoke choke ovyo lkn pia hujenga misuli kwa wafanya mazoezi, Agiza bidhaa yako kwetu