Aloe vera gel ni juice iliyotengenezwa na zao la aloevera ikiwa preserved kwa teknolojia kubwa kuweza kuretain madini ya aloe vera direct kwa ajili ya afya ya mmeng'enyo wa chakula, kusafisha mwili, kuondoa sumu, choo kigumu, kupunguza kiwango cha sukari kwenye damu, kichomi n.k hii ina vitamin c nyingi mno kwa ajili ya ngozi yako, itumie baada ya kula uweze kunufaika na mmeng'enyo mzuri, kidumu kimoja kina lita moja, tumia viwi kama unasumbuliwa na ngozi pia, karibu tukuhudumie