Mchanganyiko wa 90.7% wa pure aloe vera pamoja na matunda ya apples na cran berrys ni superfood yenye viondosha sumu zaidi ya vitamin c tuliyoizoea.
aloe vera itakusaidia kukupa nguvu lakini kusafisha mwili na kuboresha mmeng'enyo.
matunda ya berrys na apples yana antioxidants nyingi kuliko iliyopo kwny vitamin c, inaondoa sumu kwenye figo, lakini pia inaondoa vimbe na maambukizi kwenye njia ya mkojo kama uti
pia mkojo mkali unaochoma huondoka unapokutana na antioxidants zilizopo kwny matunda haya
tafiti zinaonyesha matunda ya apples kwa anayetumia huwa na usalama zaidi kwenye maambukizi ya njia ya mkojo kama uti, sasa hii berrry nactar imekuletea faida zote hizo sehemu moja utakazozipata kwa pamoja.
tafadhali fika ofisini kwety au tupigie kwa namba zetu hapo chini upate huduma hizi na nyingine.