Aloe Vera, American Cranberry (Vaccinium macrocarpon)
Active Ingredients
Drink
Formulation
All
Gender
All
Age Group
Berry
Flavor
All Natural
Features
Before Workout
When to Take
Bottle
Package
Antioxidant Combination Nutritional Supplements
Antioxidants Subtype
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Aloe berry nectar imetengenezwa na mchanganyiko wa pure aloe vera 90.7% ikichanganywa na matunda ya apples pamoja na cran berrys, superfoods kutoka kwny cranberrys zinaviondosha sumu kwa mara 20 zaidi kuliko ya vitamin c,
ubora wake uko kwny kusafisha figo kwasababu ya antioxidants zilizopo ndani ya cranberrys na apples,
ina ladha nzuri kutoka kwny harufu ya berrys na apples ikikata ukali wa aloe vera
1. inaongeza nguvu.
2. ina vutamin c nyingi sana
3. ni kiondosha sumu.
4. inasafisha figo na njia ya mkojo ikiwemo UTI
5. aloe vera inaingeza kinga na kubiresha mmeng'enyo
tafadhali usisite kuwasiliana nasi au kufika ofisini kwetu.