Bill Counter Machine

Posted May 4
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
101 views
Brand New
Condition
Bill counter machine
•Tunakuletea mashine inayotumika kuhesabia pesa zako. Mashine hii itakusadia au itakurahisishia kuhesabu pesa kwa haraka lakini pia katika kutambua fedha feki. Mashine hii inahesabu pesa zote za noti iwe fedha ya kigeni mfano:- dola, euro, kwacha, tshs n.K _
•Unaweza kuitumia ofisini kwako, dukani kwako katika matumizi mbalimbali ya kuhesabia pesa kwa uharaka zaidi na kwa uhakika zaidi.
•Tunakupatia warranty ya miaka 2. Karibuni sana
  • Bill Counter Machine
  • TSh 385,000
    0759121640
    Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

    Similar adverts