Taa hii inabebeka kabisa unaenda nayo popote pale
Taa hii ndogo unaweza kuitumia kwenye biashara yako ili isiwe giza
Kama ni dukani au gengeni inafaa mno umeme ukikatika unaiwasha
Maana ni ya solar au kama umeme upo na pia hali ya hewa siku iyo ni mbaya unaweza kuicharge kwa umeme kwajili ya emergency
Taa ni nzuri sana zipo chache sana zinatumia solar na umeme
Delivery tunafanya