Usiwe Giza Tena! Mwangaza Mkali wa Solar 3000W
Taa hii ya kisasa ya Solar 3000W inaleta mwangaza wa uhakika bila bili ya umeme!
Vipengele Muhimu:
Mwanga Mkali Sana (300 LEDs) – 6000K baridi na kali
Betri Kali ya LiFePO4 18Ah – inadumu masaa 12–15
Sensor ya Mwendo & Timer – huwaka inapohitajika
Inachaji kwa masaa 6–8 tu kwa paneli ya 25W
Muundo wa ABS Imara
haishiki kutu, inadumu
Urefu wa Kufunga:
8–10m – inafaa kwa maeneo ya nje
Warranty: Mwaka 1 tunahakikisha ubora
Inafaa kwa:
Barabara, mashamba, nyumba, mageti, viwanja, parking na maeneo ya biashara.
Nunua leo upate mwanga bila malipo ya umeme. Hakuna wiring, hakuna usumbufu!