Taa Ya Solar 800W Kubwa Angle 360 Duara Mwanga Wa Uhakika
+1
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni
10 views
Solar Lights
Type
800
watts
Light Power
12
V
Input Voltage
Brand New
Condition
Unapokuwa na nyumba yako alafu ikakosa mwanga wa taa nje ni hatari sana lakini ni vizuri kutumia Taa ya Solar ambayo kipindi cha usiku unapata mwanga wa kutusha kabisa
Hii taa hapo ni 800w inawaka vizuri sana na bei ya ni sawa na bure na ukichukua nyingi unapata offa ya punguzo la bei
Taa inajichaji kwa masaa 12 nakuwaka kwa masaa 12 inawaka nyenyewe na kijizima yenyewe
Ukiwa Kama mteja wangu unapata na warranty ya mwaka 1 ivyo usiogope kwamba atubadilishi hapana
Tatizo lolote likitokea tunawasiliana kisha tunafanya mpango wa usafiri basi taa inachukuliwa kwa ukaguzi baada ya siku tatu unapata taa mpya
Ivyo ndivyo tunavyo fanya na hii taa aingii maji kabisa kabisa
Karibu boss