tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Repair & Construction
  3. Solar Energy
  4. Solar Lights
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni
89 views

TAA 240 SOLAR LIGHT KIBOKO Ya Giza Ona Hapo Inavyo Waka

+1
Solar Lights
Type
240 watts
Light Power
12 V
Input Voltage
Brand New
Condition
JHii taa hapo juu ni taa ambayo imeundwa moja kwa moja na mfumo wake wa solar ivyo ni wewe tu kufunga nje ya eneo lako. Taa hio hapo juu jamani ni nzuri sana ni ndogo kwa umbo lakini ina mwanga mzuri sana tena sana autajutia kabisa kununua na kutumia hii ndio 240w inawaka kwa masaa 12 na inacharge kwa masaa 12 bei nauza ni bei ya offa kila mtu aweze kuagiza delivery tunafanya warranty mwaka 1 ikitokea tatizo tunawasiliana.Taa unaweza kuifunga kwenye ukuta wa fance unaweza kuitengenezea chuma mountain ikajitegemea yenyewe na unaweza kufanga getini unaweza kufunga shambani jamani marafiki zangu mnapitwa sana
TSh 110,000
10 Feedback view all
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied