Taa hapo juu ni UFO SOLAR LIGHT
ni IP 65.
usiache eneo la nyumba yako liwe giza kwasababu ya kukatika kwa umeme.Taa ya SOLAR ya 1000W ni taa kubwa yenye mwanga mkali kabisa bila wasiwasi wala shida yoyote.
Inawaka kwa saa 12 na kujichaji kwa saa 12. Taa inafaa kufunga shambani, hotel,shuleni,nyumba za wageni,sheli za mafuta, garden, nk.
DELIVERY TUNAFANYA