Panel ya Solar 550W Mono Warranty Miaka 27!
Tunauza paneli bora ya solar aina ya Mono yenye uwezo wa 550W na ufanisi wa 21.5%. Inafaa kwa friji, TV, pampu, taa na matumizi ya nyumbani au biashara. Inafanya kazi hata kwenye hali ya mawingu. Imeundwa kwa seli 144 za monocrystalline na voltage ya 41.65V. Paneli hii inadumu hadi miaka 27 na inavumilia joto kali au baridi. Inafaa kwa mifumo ya 24V hadi 48V. Saizi ya paneli ni 2278mm × 1134mm × 35mm.
Tuna stock chache. Wahi sasa. Tunatuma bidhaa mikoa yote.