Unakubali vipi eneo la nyumba yako likae giza kwasababu ya umeme kukatika katika
taa hio inatumia sola ni taa ya kijanja sana
inajicharge kwanzia asubuhi na kujiwasha kwanzia jioni
taa unaweza kufunga kwenye ukuta wa nyumba yako au kwenye fensi ya nyumba yako
kwa kutumia nguzo au kwa kuifunga yenye
taa ina mwanga mkali sana ni 600watts
auta jutia kutumia taa za kisasa
bei poa agiza nyingi upate punguzo la bei
kama ni mkazi wa dar es salaam unaletewa
kama ni mkazi wa nje ya dar es salaam tunatuma