Tupo dar es salaam MOROCCO, TABATA, MWENGE
UNAWEZA KUJA OFISINI
AU UNAWEZA KUFANYIWA DELIVERY
Closed now
• Mon - Sat, 09:00-18:00
Taa ya hapo juu unaitumia kwenye garden yako ili kuipa muonekano mzuri garden yako.
Taa inawaka rangi tofauti tofauti na unatumia rimont kama unapenda kubadilisha mwanga uwake rangi gani.
Pia taa aiwezi kuingia maji ni waterproof na inawaka kwa masaa 10 tangu jua kuzama
Taa ni nzuri sana ni ndefu nzuri mno na autaji fundi ni kuwasha tu na kuzipangilia
Bei nakupa bei nzuri ili tu upate taa hii
Delivery tunafanya kwa gharama za mteja wetu
Idadi ya taa ndio unapata discount