CEILING SOLAR LIGHT Taa Ya Solar Kwajili Ya Kufunga Ndani
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni
28 views
CEILING SOLAR LIGHT Taa Ya Solar Kwajili Ya Kufunga Ndani
+1
Solar Lights
Type
40
watts
Light Power
12
V
Input Voltage
Brand New
Condition
Umeme umekuwa tatizo ukikatika tu mnaanza kutafutana Sasa shida yote ya nini jiwekee ndani kwako taa zako za solar ata kwani ndio uhakika Autaji kuweka switch bali unatumia rimont tu kwa raha zako Panel inakuwa nje taa inakuwa ndani Hii ni kubwa 40 watts Delivery tunafanya