Tupo dar es salaam MOROCCO, TABATA, MWENGE
UNAWEZA KUJA OFISINI
AU UNAWEZA KUFANYIWA DELIVERY
Closed now
• Mon - Sat, 09:00-18:00
Eneo la nyumba yako sio vizuri likiwa giza kisa tu umeme umekatika usiku au bado ujaweka taa za nje na kama umeweka basi umeweka za umeme
tunarudi palepale giza sio salama kwenye nyumba yako
sasa taa hio kuu hapo ni taa nzuri sana inamwanga sana
na unaweza kuizungusha kwa kutumia rimont yake
taa hii kama mtu atasogea kwenye eneo la nyumba yako basi mwanga unaongezeaka mara 2 ya mwanzo
pia taa inatumia nishati ya jua yani sola
kwaiyo inajicharge kwanzia asubuhi na kujiwasha jioni ivyo agiza taa zako za kutosha zipo za kutosha usikose kuagiza
mikoani tunatuma