SOLAR LED FLOODLIGHT
Taa hizi zinatumia nishati ya jua kujicharge na zinajiwasha automatically giza likiingia na kujizima jua linapochomoza na pia unaweza kuiweka na kuichomelea kwenye bomba taa hizi ni taa nzuri sana inakuja na screw zake kufanyia mounting na pia inakuwa na wireless remote ambayo itakusaidial kuwasha na kuzima taa wakati wowote utakao hitaji na pia itakusaidia kubadilisha mode kwasababu taa hii ina motion sensor mode na pia inaweza kuwaka muda wowote kwenye high brightness woterproof Taa unaweza kutumia fence na entrance gate, yard, viwanja vya michezo, shuleni, eneo la biashara, bustani,hotels,store, basement, swimming pool, panel shambani na viwandani agiza leo uletewe delivery juu ya mteja