• Smart Watch Skimei

Smart Watch Skimei

Posted Feb 22
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
173 views
Brand New
Condition
Other
Brand
Smart Watches
Type
Black
Band Colour
Rubber
Band Material
Skmei og smart watch 65,000
inaonesha saa, siku, tarehe, mwaka pamoja na stopwatch. pia unaweza kuunganisha na simu yoyote kwa bluetooth na kuitumia kupigia picha(remote camera), inapima umbali uliotembea, kilocalories, inakupa notifications za calls, msg, whatsapp na networks nyingine na kuset alarm. haiingizi maji.
1year warranty
dar unaletewa buree(free delivery), mikoani tunatuma kwa gharama nafuu sana
dm/text/whatsapp
TSh 70,000
Last seen 4 hrs ago
0713579248
Tell seller that you found ad on Jiji.co.tz

Similar adverts