tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Phones & Tablets
  3. Smart Watches
  4. GPS Running Watches
Dar es Salaam, Kinondoni, 6 hours ago
31 views

GPS Tracker Ina Track Location

+1
3
Other
Brand
TRacker
Model
Fitness Trackers
Type
Brand New
Condition
Hii ni GPS tracker ambayo unaweza itumia kujua location ya gari lako pikipiki au mali yako ya thamani kowa unaisafirisha utajua kila sehemu ilipo uzuri wa hii GPS ukiichaji inakaa na chaji siku 7 pia inasehemu ya kuweka laini ya simu unaweka laini ya simu kwenue hicho kofaa kisha uta download app yake kwenue simu yako kisha utaunganisha na kifaa kwa kuweka namba zilizopo kwenye hicho kifaa na password ambayo utaikuta kwenye karatasi ya hicho kifaa kisha utakua na uwezo wa kuona kila sehemu gari au pikipiki au mzigo wako utakapo kuwa na ukihitaji ufata unaweza fata ramani ukafika mbaka vilipo Pia tunahuduma za deriver Ukihitaji kama uko dar tunakuletea mbaka ulipo kama uko mkoani tuna tuma kwa uaminifu mkubwa kwa njia ya mabasi
GPS Tracker Ina Track Location
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif