F15 Smart Selfie Stick Tripod Stand – Mpya Kabisa (Brand New)
1/2
Dar es Salaam, Kinondoni, 01/06
1 views
F15 Smart Selfie Stick Tripod Stand – Mpya Kabisa (Brand New)
+1
F15 self stick
Brand
kupiga picha kali
Model
Accessories
Type
Brand New
Condition
Black
Band Color
Other
Band Material
Delivery
Across country
1-2 days
Free of charge
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar es salaam, Kinondoni
Agiza sasa hapa
Open
• Mon - Sun, 09:00-21:00
Je, wewe ni Content Creator, Tik Toker, Vlogger, au unapenda kusafiri na kupiga picha/video zenye muonekano wa kiwango cha juu? Hii F15 Selfie Stick ndio suluhisho lako!
Ni kifaa cha kijanja cha 3-in-1 kinachofanya kazi kama Selfie Stick, Tripod Stand thabiti ya kuweka chini, na inakuja na Bluetooth Remote ya kukusaidia kupiga picha ukiwa mbali bila kuhitaji mtu wa kukushikia simu.