tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Face Care
  4. Tena Face Care
Dar es Salaam, Kinondoni, 30/05
9 views

Zuia Sunzua Na Makunyanzi

+1
Unisex
Gender
Skincare Tools
Type
Forever Living
Brand
Body
Skin Area
Sample Size
Size
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Sunzua ni vinyama vidogo vinavyoota mwilini ukiwa una dead skin cells nyingi, lakini nyingi hutokana na matumizi ya cream kali kipindi cha nyuma, pia kisukari cha juu huongeza concentration ya kuota kwa sunzua pamoja na kuathirika na jua kwa muda mrefu, sasa hizi ni dead skin cells na hutakiwi kuzikata kiolela mana zinatabia ya kurudia kuota ukikikata, namna ya kuvicontrol cha kwanza lazima uibalance ngozi yako visiendelee kuota kwanza ndipo uanze kuviondoa, karibu sana kwenye FLP products tunakuja na set ya makunyanzi pamoja na kucontrol sunzua kwa muda mfupi lakini pia sunzua kuondoka itakuchukua muda kidogo ila hazitarudi tena, zitakusaidia kuongeza skin elasticity lakini pia zina botanicals nyingi na colagen kwa ajili ya kuondoa uzee, kwa maelezo kuhusu hizi products tupigie
Zuia Sunzua Na Makunyanzi
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif