Habari, je wewe unaitunzaje ngozi yako ,asilimia kubwa ya makunyanzi usoni mwako hutokana na miyale ya jua, ngozi yako inakuwa na hali flani ivi ya uzee kwasababu miyale ya jua inadidimiza cell za ngozi, hivyo chunusi na harara pia zitakushambulia sana kwakuwa cell za ngozi yako yanamalizw na jua,sasa aloe sunscreen imetengenezwa na aloe vera kwa wingi iliyochanganywa na nutrient nyingi zinazoweza kuondoa miyale ya jua isiumize ngozi yako, inarutubisha ngozi yako na inaondoa kasi ya uzee karibu wasiliana nasi kupitia074XXXXXXX