tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Face Care
Dar es Salaam, Kinondoni, 08/06
6 views

Sabuni Ya Ngozi Yenye Chunusi Sugu

+1
1
Unisex
Gender
Skincare Tools
Type
Forever Living
Brand
Body
Skin Area
Sample Size
Size
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Closed
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Dar es Salaam • Temeke
Tarara, Dar es salaam
Whatsapp me
Closed
• Mon - Sat, 09:30-10:30
Habari, je unahangaika muda mrefu kutafuta suluhisho la ngozi yako ya usoni ,unatumia dawa za kila aina lakini huponi ,fahamu suluhisho la kudumu ni kupata combination kwanzia kwenye sabuni kioshea uso na dawa unazotumia, sabuni nyingi huwa zinachochea harara kwasabanu ya wingi wa phosphorus inayobaki kwenye ngozi hivyo utajikuta unaona dawa hazikusaidii kumbe unatibu lakini unaongeza tatizo, sasa kampuni ya aloe vera imekuja na sabuni mathubuti special kwa ngozi zote zenye mafuta au kavu, sabuni hii ni ya maji na imetengenezwa na aloe vera kwa wingi ikichanganywa na ini la ndani la nazi na asali hivyo haiweki mafuta kwenye ngozi bali inaeka unyevu mwingi kwenye ngozi , ina harufu nzuri sana hivyo ukiogea spray inaeza isiwe na haja, ni kubwa na ina uwezo wa kutumika muezi minne mpk mitano, haipaushi na. hukausha chunusi na kubakiza ngozi yako ikiwa na unyevu w kutosha siku nzima
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif