PUREC EGYPTIAN GOLD MAGIC WHITENING LOTION
Ni lotion nzuri sana isiyochubua lakini inakupa ngozi nzuri na laini sana.
Inafaa watu wote wanawake kwa wanaume.
Faida utakazopata;
imetajirishwa na Egg Yolk and L-Glutathione ambazo husaidia kuondoa chunusi,ufubao wa ngozi nk.
Inang'arisha vizuri na kukupa ngozi uitakayo .
Ubora wake wa Uhakika Sana .
Inaondoa Chunusi zote kwenye Ngozi .
inakupa unyevu mzuri kwenye ngozi hivyo kukufanya ujisikie mlaini na mororo muda wote.
Itaondoa Mikunjo Mikunjo kwenye ngozi .
Haileti Michirizi(Green veins) kwenye Ngozi unapotumia.
inatoa michirizi yaani ni anti strech marks
kwa matumizi ya mara kwa mara matokea ni ndani ya siku 14 tu.