Hii ni tube ambayo inasafisha ngozi na kuondoa mabaka mabaka, tango tango, chunusi, rashes, itakuponyesha vidonda vya kwenye ngozi, inaondoa makunyanzi ya uzee(ant ageing) pia hufanya ngozi kuwa soft na kuwa yenye rangi moja ni nzuri sabu imetengenezwa kwa kutumia mimea asilia pia unapotumia tube hii huwa tunashauri utumie na aloe vela gel kwaajili ya kusafisha mwili kwa ndani na kuongeza kinga ya mwili itakayo enda kuleta matokeo mazuri hadi kwenye ngozi yako kwasababu -itaondoa sumu mwilini -itakusaidia kwenye kufyonza virutubisho mwilini -itakusaidia kwenye mmeng'enyo wa chakula na kukupa faida zingine nyingi