Deodorant ya forever ni muhimu sana kwa kutokuwa na chumvi za aluminium lakini pia imetengenezwa na aloe vera pure kwa ajili ya kuongeza unyevu kwenye ngozi lkn pia ikichanganywa na elements za limao kuifanya iwe na harufu nzuri isiyotoka kwenye kwapa au kwenye ngozi kirahisi, inaondoa weusi kwenye ngozi hususan makwapani, mapajani,kwenye maziwa na hata shingoni, karibu whatsapp tunapatikana kwa namba hii hii lakini pia unaweza kutupigia