tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Face Care
  4. Glutathione Face Care
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, 1 hour ago
16 views

More Than Gold Lotion

+1
Women's
Gender
LOTION
Type
Lotion
Brand
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Mwinyijuma
Kinondoni Studio, Mwinyijuma Road
Open
• Mon - Sun, 06:00-23:00
More than gold lotion ni lotion pendwa hususani kama unahitaji kuglow bila kujichubua. Ina Kojic Acid Dipalmitate ambayo inajulikana kwa kuzuia uzalishwaji wa melanin ambao unafubaisha ngozi. inaondoa chunusi usoni . Inaenda Kuondoa Madoa Sugu Yote . inarejesha muonekano halisi wa ngozi yako . inaondoa ukavu wa ngozi . inaondoa na kuziba vishimo vishimo vyote kwenye ngozi . Imeundwa kwa Wingi na Vitamin C na Glutathione ambavyo vinakuba mng'ao wa ngozi. Inaondoa Mikunjo mikunjo yote kwenye Ngozi . Inaondoa Michirizi (Streach Marks ) zote kwenye Ngozi Kama Una chunusi basi hii , ni yako itakusafisha Ngozi yako vizuri sana . Inaenda Kuweka Sawa PH Ya Mwili wako inaondoa kabisa ngozi kufubaa yaani unaglow na rangi yako ya asili. inakaza ngozi na kulainisha hivyo kukupa muonekano wa ujana zaidi. HAICHUBUI
More Than Gold Lotion
TSh 65,000
11 Feedbackview all
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif