Je wewe unapaka lotion gani? Vip kama ukianza kupaka Hii lotion yetu yenye shea butter na mchanganyiko wa aina 5 ya mafuta kama ( Meadowfoam seed oil , canola oil , Rosa canina fruit oil , na alizeti ) kwa ujumla ni lotion nzuri yenye vitamins zote muhimu kama A, E, F na C zinazosaidia ngozi kuwa nyororo na yenye unyevu muda wote pia Kuna ya kung'arisha ni elfu 50 tuu kwa bei yetu offa