tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Health & Beauty
  3. Skincare
Dar es Salaam, Kinondoni
61 views

Kiboko Ya Vipele Vya Ndevu

+1
2
Men's
Gender
Skincare Tools
Type
Forever Living
Brand
Other
Skin Area
Sample Size
Size
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
Dar Es Salaam
Open now
• Mon - Sat, 08:00-21:00
Habari, hivi kwanini unasumbuliwa na vipele vya ndevu, tatizo hili limekuwa gunzo kwa watu wengi na hii ni kutokana na utumiaji wa vifaa vyenye ncha kali kama wembe na pia tatizo kubwa lingine ni nywele kujisokota ndani ya ngozi ndo husababisha mapele kujitokeza kwenye ngozi hususan kwenye shingo, chini ya kidevu na hata sehemu zingine kama makwapani na kwenye sehemu zingine za siri, basi tatizo lina kikomo kama utatumia dawa madhubuti kama forever gentle pride inayosuia nywele kujisokota ndani ya ngozi na pia inalainisha ngozi baada ya kushave isiwe na ukakamavu bali ionekane laini zaidi, ni kutoka kampuni ya forever inayotumia aloe vera kitengeneza bidhaa zake
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied