Aloe liquid soap ni sabuni ya maji kutoka forever living product company, imetengenezwa kwa wingi na majani ya aloevera, hivyo kuwa na kiwango kikubwa cha madini ya calcium, chuma na pia vitamin c kwa wingi ambazo zitailinda ngozi yako dhidi ya bacteria na allergy za ngozi kama mba, utangotango, chunusi, harara na mawasho, huifanya ngozi yako kuwa na unyevu kwa wingi hivyo kuiacha ngozi yako ikiwa inapendeza kutwa nzima, haichagui ngozi, inatumika kwa ngozi ya mafuta na pia hata ngozi kazu, inatumika zaidi ya miezi minne na kuendelea hivyo kukufanya kutokununua sabuni za maji ovyo, pia huboresha afya ya ngozi ya kichwa , karibuni sana