tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Face Care
  4. Serums
  5. Forever Living Face Care
Promoted
Dar es Salaam, Kinondoni, 2 hours ago
1 views

Infinite Firming Serum

+1
Skincare Tools
Type
Unisex
Gender
Full Body
Skin Area
Mini
Size
SIFA ZA INFINITE FIRMING SERUM Kupunguza Makunyanzi: Inasaidia kupunguza kuonekana kwa mistari midogo na makunyanzi (fine lines and wrinkles). Kuimarisha Ngozi: Inasaidia ngozi kuwa na mvuto na uimara (elasticity), hivyo kuzuia ngozi kulegea. Kuongeza Unyevu: Inatunza unyevu ndani ya ngozi ili ionekane nyororo na yenye afya. Kuchochea Collagen: Inasaidia mchakato wa asili wa ngozi kutengeneza collagen, ambayo ni protini muhimu kwa vijana. ​Inafaa Ngozi Zote: Inaweza kutumiwa na watu wenye ngozi kavu, ya mafuta, au mchanganyiko. ​Jinsi ya Kuitumia ​✓ Safisha uso wako vizuri (kwa kutumia Hydrating Cleanser). ​✓ Paka matone machache ya Firming Serum kwenye vidole vyako. ✓ ​Ipake usoni na shingoni kwa kuisugua taratibu kuelekea juu na nje. ✓ ​Subiri ikauke kidogo kabla ya kupaka mafuta mengine ya usoni (moisturizer).
Show contact
TSh 163,000
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif