tre.gif
Sell faster
Buy smarter
  1. All ads
  2. Beauty & Personal Care
  3. Face Care
  4. Lightening Cream
  5. Glutathione Lightening Cream
Dar es Salaam, Kinondoni, 25/05
6 views

Gluta White Body Lotion

+1
1
Unisex
Gender
Skincare Tools
Type
101E
Brand
Full Body
Skin Area
Other
Size
Store address
Dar es Salaam • Kinondoni
GXW4+X3 Nkunjila, Tanzania
Open
• Mon - Sun, 09:00-20:00
GLUTA WHITE BODY CREAM tii kitu siyo ya kuchukulia kawaida kabisa inang'arisha ngozi inasoftisha, kaza ngozi, moisturize, inasaidia ngozi zenye mikunjo na kuzuia mikunjo kwa ambazo hazin na mchanganyiko wake ni wa kibabe glutathione & collagen yani kitaalamu kama unafatilia maswala ya ngozi hii combination ikitiwa kwenye lotion yeyote results huwa super nasisitiza tena hii ni JUA KAZI YA HIZI VITU SOMA KWA MAKINI HAPA GLUTATHIONE kwa miaka sasa imekuwa ikitumiwa katika urembo wa. ngozi kutokana na mchango wake wa kusaidia elasticity (uwezo wa ngozi kujivuta na kurudi kawaida) ambapo hii hali ikikosekana ngozi inawahi kujikunja na kuzeeka kabla ya wakati pia ... huko nchi za wenzetu kama Thai huwaambii kitu maana wanatumia sana glutathione katika kuhakikisha ngozi zinang'aa vizuri nakuonekana vizuri076XXXXXXX
Report Abuse
Safety tips
  • Avoid paying in advance, even for delivery
  • Meet with the seller at a safe public place
  • Inspect the item and ensure it's exactly what you want
  • Make sure that the packed item is the one you've inspected
  • Only pay if you're satisfied
frame_left.gif